Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Amezindua Kampeni za CCM Jijini Dodoma leo 29/8/2020.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli pia ni Mgombea Urais wa Tanzania akiwa na Wagombea wa CCM (kulia kwa Rais) Mgombea Mwenza wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, akiwatambulisha kwa Wanachama wa CCM katika Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika jukwaa kuu katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za CCM


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo 29-8-2020.zilizofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli(hayupo pichani) pia ni Mgombea Urais wa Tanzania.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wanachama wa CCM wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo 29-8-2020, zilizofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli (hayupo pichani)
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika leo 29/8/2020 katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.

Wasanii wa Filamu Tanzania wakishangilia wakati Mgombea Mwenza wa Rais, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla hiyo. iliofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma. 
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo.29-8-2020.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kulia kwa Rais) Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , wakifuatilia hutuba ya Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha Mapinduzi, wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.  
BAADHI ya Wanachama wa Chama  Cha Mapinduzi (CCM) wakifuatilia mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni  za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo 29-8-2020, wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo leo.

BAADHI ya Wanachama wa Chama  Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi  zilizofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo 29-8-2020.Mgombea Urais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo
Wasanii wa Filamu Tanzania wakifuatilia haf;la ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika jukwaa kuu katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za CCM.
Makamu Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, baada ya kumalizika hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika leo 29-8-2020 Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.