WATOTO wakike wakisubiri
Pembea yao kujaa upepo ili kuweza kuingia na kufurahia skukuu yao, huko katika
viwanja vya Jadida Wete
WATOTO kutoka maeneo mbali mbali ya mji wa Wete,
wakiangalia watoto wenzao wakiwa katika moja ya Pembea za kusukuma kwa mkono,
katika viwanja vya jadida Wete
No comments:
Post a Comment