Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Amefanya Ziara ya Kushitukiza Katika Shule Msingi ya Mwalusembe Mkuranga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya  Mwalusembe wilayani Mkuranga wakati alipofanya   ziara ya kushitukiza Shuleni hapo, Agosti 13, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.