Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.ZARA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Naibu Waziri Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) na Mshauri wa Rais Pemba Dk.Mauwa Abeid Daftari 
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt.Idriss Muslim Hija alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu Nd,Maalim Abdalla Mzee  (kulia)
Viongozi katika   Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani)
Maafisa  wa Idara mbali mbali katika Wizara ya   Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia wakati wa  Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa   Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (hayupo pichani).
Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asya Iddi Issa akita Maelezo kuhusu Idara yake  katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.