Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azindua Mkutano wa Kampeni wa CCM Pemba Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi mbalimbali katika jukwaa juu wakiwa wamesimama wakati wakiimba wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka" wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa CCM wa Kampeni kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo 16-9-2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Pemba wakijumuika katika kuimba wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka" wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Pemba iliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Pemba wakijumuika katika kuimba wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka" wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Pemba iliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia WanaCCM katika Mkutano wa Ufunguzi wa Kampezi ya CCM Pemba uliofanyika katka Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake leo 16/9/2020, kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi na Wagombea Ubunge,Uwawakilishi na Udiwani Pemba.

Umati wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Pemba wakihudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia mkutano huo leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk. Ali Mohamed Shein akiwatambulisha Wagombea Uwakilishi kupitia CCM, wajkati wa mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Pemba uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo Junatano 16-9-2020. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge Nafasi hya Wanawake Bi. Asia Sharif, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni ya CCM Pemba uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake leo.
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Nafasi za Wanawake Pemba wakionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM baada ya kukabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika mkutano wa Ufunguzi wa Kampezi za CCM Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake leo.  
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na (kulia kwake) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na (kushoto kwake) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakifuatrila mkutano huo wa ufunguzi wa Kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba leo.
Umati wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Pemba wakihudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akihutubia mkutano huo leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.