Habari za Punde

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Mkoa wa Singida

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa mkoa wa Singida kwenye mkutano wa Kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini.

Sehemu ya Wananchi waliohudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini kwa ajili ya mkutano wa Kampeni za Urais za Chama cha Mapinduzi CCM.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.