Habari za Punde

Mgombea Urasi wa Zanzibar Kupitia Chama Cha Mapinduzi Gk. Hussein Mwinyi Arejesha Fomu Tume ya Uchaguzi ZEC Leo.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahmoud Hamid, akipokea Fomu za Mgombea Urais kupitika Chama cha Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Mwinyi  wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.