Habari za Punde

Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Magufuli Awatuza Kofia Wasanii Kala Jeremiah na Ali Kiba Katika Mkutano wa Kampeni Bukoba KOBA na Biharamulo IHARAMULO, Amesema Sanaa ni Sekta Muhimu Sana za Uchumi Nchini.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Ali Kiba baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala Jeremiah baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera. 
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala Jeremiah baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera 
Msanii Ali Kiba akifurahia kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi uisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Msanii Kala Jeremiah akifurahia zawadi ya kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulibaada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.