Habari za Punde

Muonekano wa Jengo Jipya la Maduka ya Kisasa la Sheikh Thabit Kombo Kisonge Michezani Jijini Zanzibar.

Muonekano ya Jengo jipya la Maduka ya Kisasa la Sheikh Thabit Kombo Kisonge Michezani Jijini Zanzibar lililofunguliwa rasmin na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein \, baada ya kumalizika kwa ujenzi wake na kukabidhiwa kwa ZSSF msimamizi wa ujenzi huo hadi kukamilika kwake. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.