Habari za Punde

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Madaba Wilayani Songea  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya Kijiji cha Madaba Songea Mkoani Ruvuma leo Septemba 15,2020.                            
(Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Madaba  katika Kijiji cha Mtyangimbole na Limbuka kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Wilaya kijiji cha Limbuka Songea Mkoani Ruvuma leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.