Habari za Punde

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA KINYEREZI LEO TAREHE 12 OKTOBA, 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya mkutano wa Kampeni Kinyerezi leo tarehe 12 Oktoba, 2020 jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi mkoani Dar es Salaam wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akinadi sera za CCM 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kinyerezi Wilayani Ilala katika muendelezo wa mikutano ya Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Wananchi wa Kinyerezi mkoani Dar es Salaam wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akinadi sera za CCM leo tarehe 12 Oktoba, 2020. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.