Habari za Punde

Muonekano wa Jengo Jipya la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall Jijini Zanzibar.

Muonekano wa Jengo Jipya la Maduka ya Kisasa la Michezani Mall ambalo limefunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. Jengo hilo ni Mradi Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  ZSSF. liko katika eneo la michezani awali eneo hilo lilikuwa na maduka ya makontena na kupisha ujenzi huo mkubwa wa maduka ya kisasa 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.