Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AMTEMBELEA MAJERUHI ALIYESHAMBULIWA KWA MAPANGA MSIKITINI PEMBA ANAYETIBIWA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia jeraha alilopata Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa  mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja  alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtuza kofia Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mkuu wa Polisi wa Mjini Magharibi ACP Awadhi baada ya kumjulia hali Ndugu Hamisi Nyange  Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020
PICHA NA IKULU
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.