Boti za Azam Marine na Zanzibar Faste Ferry wakiwa katika Safari zao za kawaida kati ya Dar es Salaam na Zanzibar zinavyooneka wakiwa katika safari hiyo wakitokea Jijini Da es Salaam wakipita katika eneo la chumbwe wakielekea katika bandari ya malindi kumalizia safari yao na abiria waliotoka nao Dar.
Tunduru: Viuatilifu kuongeza uzalishaji wa Korosho Tunduru
-
Tunduru-Ruvuma.
Baadhi ya wakulima wa zao la korosho katika Tarafa ya Nakapanya Wilaya ya
Tunduru Mkoani Ruvuma,wamepongeza mpango wa Serikali wa kutoa b...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment