NAIBU Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe.Harusi Said Suleiman (katikati), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa
bohari kuu ya Dawa Kisiwani Pemba, kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, hafla iliyofanyika Vitongoji Chake
Chake Pemba
Mkurugenzi Bohari kuu
ya Dawa Zanzibar Bi.Zahran Ali Hamad, akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa wizara ya
afya Zanzibar Harous Said Suleiman, wakati alipokuwa akikagua bohari hiyo baada
ya kuifungua Rasmi huko Vitongoji Chake Chake Pemba
BAADHI ya dawa zikiwa
ndani ya Bohari kuu ya Dawa huko Vitongoji Chake Chake, zikiwa zimehifadhiwa
kwa ajili ya kupata kutolewa katika Hospitali na vituo vya afya Pemba
NAIBU katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salim,
akitoa taarifa ya kitaalamu juu ya ujenzi wa bohari kuu ya dawa Vitongoji Chake
Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment