Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Watoto Zunairah Abdalla Marzuk na Akla Abubakar Salum walioandaliwa kwa ajili ya kumkabidhi mkasi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto lililojengwa katika eneo la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguyja hafla hiyo imefanyika leo 13/10/2020 katika viwanja vya hospital hiyo Kivunge.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge
Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.
Hamad Rashid Mohame na Daktari Dhamana wa Hospitali ya Kivunge Dkt. Tamin Hamad
Said na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Vuai Mwinyi,
hafla hiyo imefanyika leo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Jamal Adam Taib na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini “A” Unguja Mhe. Vuai Mwinyi na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, wakati
wakitembelea vyumba vya kulaza wagonjwa
wakati wa ufunguzi wa jengo hilo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akimsikiliza Daktari Dhamana wa
Hospitali ya Kivunge Dkt.Tamim Hamad Said (mwenye koti jeupe) wakati
akitembelea wodi za hospitali hiyo baada ya kuifungua leo 13/10/2020 ,na (kulia
kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini “A” Unguja Mhe. Vuai Mwinyi na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed, wakati
wakitembelea vyumba vya kulaza wagonjwa
wakati wa ufunguzi wa jengo hilo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Juma Ali Makame akiwa katika chumba cha kulazwa Watoto Njiti, katika jengo la Mama na Mtoto baada ya kulifungua leo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Dkt Mambi hafla hio imefanyika 13/10/2020,
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Juma Ali Makame
wakati akitembelea Wodi ya Watoto Njiti, katika jengo hilo baada ya
kulifungua leo 13/10/2020, jengo la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya
ya Kaskazini”A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad
Rashid Mohammed
Muwakilishi wa UNFPA Ndg. Peter Matiga akizungumza na kutowa salamu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto lilioko katika eneo la Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.
NAIBU
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid akitowa maelezo ya
Kitaalam ya Mradi wa Ujenzi wa jengo jipya la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja lililojengwa katika
eneo la Hospitali hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika leo Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WAZIRI
wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Mradi wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto Hospotali ya Kivunge Wilaya
ya Kaskazini “A” Unguja, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika leo
13/10/2020
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akihutubia katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto katika
Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, ufunguzi huo umefanyika
leo katika eneo la Hospitali ya Kivunge
WAKURUGENZI
wa Idara mbalimbali wa Wizara ya Afya
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mama na Mtoto Hospitali
ya Kivunge Wilaya ya Kaskaszini “A” Unguja.
WANANCHI
wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya
la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia
katika viwanja vya hospitali ya Kivunge.
MADAKTARI wa Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazinin
“A” Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla
hiyo baada ya kulifungua jengo jipya la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge Mkoa
wa Kaskazini Unguja leo
WANANCHI
wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya
la Mama na Mtoto Hospitali ya Kivunge, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia
katika viwanja vya hospitali ya Kivunge leo 13/10/2020
No comments:
Post a Comment