Innaa llilaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun
Mchezaji wa zamani wa Timu ya KMKM na Taifa Stars mchezaji nguli na aliyekuwa Kocha wa Timu Tofauti Zanzibar Shaaban Ramadhaan amafariki leo Jijini Zanzibar kwa habari za jamaa wa karibu waq marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho.
Mola amsamehe makosa yake na kumpa kauli thabiti
Marehemu Shaaban Ramadhaan enzi za uhai wake alipokuwa kocha wa timu mbalimbali za Zanzibar pia atakumbukwa kwa kuwemo kwenye dream team ya KMKM iliyokuwa ikicheza soka la kitabuni katika miaka ya themanini ilikyokkuwa chini ya kocha Marehemu Mzee Heri
No comments:
Post a Comment