Habari za Punde

Matukio ya Picha Uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma 13/11/2020.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Viongozi Wakuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma 13/11/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na kushoto kwake Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kulia kwake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika Mhe.Dkt. Tulia Ackson wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa Uzinduzi wa Bunge la 12 lililofanyika katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na kushoto kwake Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kulia kwake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika Mhe.Dkt. Tulia Ackson wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia na kulifungua jana 13/11/2020, katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma jana 13/11/2020.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na kushoto kwake Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kulia kwake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Naibu Spika Mhe.Dkt. Tulia Ackson wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia na kulifungua jana 13/11/2020, katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma jana 13/11/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe,.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania lililofanyika Jijini Dodoma. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla  baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania lililofanyika Jijini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa  na Spika wa Bunge wa Tanzania  Mhe. Job Ndugai, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania lililofanyika Jijini Dodoma jana 13/11/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.