Habari za Punde

Mawaziri Walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Wanaotarajiwa Kuapishwa Kesho Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

Waziri wa Ofisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji  Zanzibar. Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga.
Mwakilishi wa Jimbo la Bububu. 
Waziri wa  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ. Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Ole Pemba. 
Waziri wa Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora. Zanzibar .
 Mhe. Haroun Ali Suleiman.
 Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi.
Waziri wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar .
Mhe.Jamali Kassim Ali.
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni.
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
 Mhe. Dk.Khalid Salum Mohammed 
Mwakilishi wa Jimbo la Donge Zanzibar. 
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar.
Mhe. Dk. Soud Nahoda Hassan.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar 
Mhe. Simai Mohammed Said.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar.
Mhe. Tabia Maulid Mwita 
Mwakilishi wa Kuteuliwa na Rais.
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Zanzibar.
Mhe. Riziki Pembe Juma.
Nafasi za Wanawake. 
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.
Mhe Lela Mohammed Mussa.
Nafasi za Wasomi
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar.
Mhe. Rahma Kassim Ali 
Nafasi za Wanawake.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar.
Mhe. Abdalla Hussein Kombo.
Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba. 
Waziri wa Maji na Nishati Zanzibar.
Mhe. Suleiman Masoud Makame.
'Mwakilishi wa Jimbo la Chonga Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.