Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa Uongozi wa Miaka 10 na kukabidhi madaraka kwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu 2020. Dk. Shein akiingia na msafara unaoongozwa na Mapikipiki ya Jeshila Polisi la Usalama barabarani katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa kipindi cha miaka 10 ya Uongozi wake akiingia katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar akiwa katika msafara wake ukiongozwa na pikipiki za Jeshi la Polisi Usalama barabarani Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MheDk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa Uongozi kwa kipindi cha Miaka 10 akiwa katika jukwaa akipokea salamu ya heshima kutoka kwa Gwaride maalum lililoandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi iliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.
KIKOSI cha Bendera kikitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa uongozi wa miaka 10, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Na kuapishwa kmwa Rais Mteule Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
Viongozi wa Jukwaa kuu wakiwa wamesimama wakati wa kutoa salamu ya Heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein anayemaliza muda wake wa Uongozi wa Miaka 10, hafla hiyo imefanyika jana Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa Uongozi wa miaka 10, akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, kwa ajili ya kumuaga hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa Uongozi wa miaka 10, akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar,kwa ajili ya kumuaga hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.

Bendera ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein ambae anamaliza muda wake wa Uongozi wa miaka 10 ikishishwa na kupigwa mizinga wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakimpungia mkono wa kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, anayemaliza muda wake wa Miaka 10 ya Uongozi wake, wakati akipita katika gari maalum la wazi la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) lililoandaliwa kwa ajili yake kuwaaga Wananchi wa Zanzibar waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi hafla hiyo iliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.

Wananchi wa Zanzibar wakimpungia mkono wa kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, anayemaliza muda wake wa Miaka 10 ya Uongozi wake, wakati akipita katika gari maalum la wazi la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) lililoandaliwa kwa ajili yake kuwaaga Wananchi wa Zanzibar waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zanzibar hafla hiyo iliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar jana 2/11/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akielekea katika jukwaa la kuapishwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka huu Oktoba 28,2020.
No comments:
Post a Comment