Habari za Punde

Kuwasili Kwa Viongozi na Wageni Waalikwa Katika Hafla ya Kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar Uwanja wa Amani Jana 2/11/2020.

Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkewe Mama Salam Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapiushwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi zilizofanyika katika uwanja huo jana 2/11/2020. 
Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapiushwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi zilizofanyika katika uwanja huo jana 2/11/2020.
Makamu wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapiushwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi zilizofanyika katika uwanja huo jana 2/11/2020.
Rais Mstaaf wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Shadya Karume wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapiushwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi zilizofanyika katika uwanja huo jana 2/11/2020.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwasili katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhueria hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika jana 2/11/2020 katika viwanja hivyo.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi iliofanyija jana 2/11/2020.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwasili na kusalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM MheDk. Hussein Ali Mwinyi  jana 2/11/2020 katika Uwanja wa Amani Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mama Maryam Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa Amaan Jana kuhudhuria hafla ya kuapishwa Rais wa Zanzibar  MheDk. Hussein Ali Mwinyi.

Mabalozi Wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya kuapishwa Rais Mteule wa Zanzibar. Mhe Dk Hussein Ali Mwinyi. baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwaka huu 2020.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.