Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Kombe la Yamleyamle Cup Kati ya Mboriborini na Mbirimbirini.Timu ya Mboriborini Imeibuka Bingwa wa Kombe la Yamleyamle 2020/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Yamleyamle Cup Nahodha wa Timu ya Mboriborini Ridhiwani Mohammed Ali, baada ya kuibika mshindi katika mchezo wa Fainali na Timu ya Mbirimbirini kwa bao 2-1, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe na Fedha Taslim Nahodha wa Timu ya Mbirimbirini Hassan Vuai Hassan, baada ya kuibuka mshindi wa Pili wa Michuano ya Kombe la Yamleyamle Cup mchezo wa Fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mchezo wa Fainali wa Kombe la Yamleyamle Cup kati ya Mborimborini na Mbirimbirini uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita na Mke wa Rais wac Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, katika mchezo huo Timu ya Mboriborini imeibuka na ushindi wa bao 2 -1.
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Mbirimbirini Selembe akijiaribu kumpita beki wa Timu ya Mboriborini katika mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Yamleyamle Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar,Timu ya Mboriborini imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1

WAPENZI wa soka Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Fainali ya Kombe la Yamleyamle Cup kati ya Mboriborini na Mbirimbirini uliofanyika katikia Uwanja wa Amaan Timu ya Mboriborini imeshinda mcheo huo kwa bao 2-1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.