Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango atembelea baadhi ya Taasisi za Muungano zinazortoa huduma Zanzibar

Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Mussa Juma akitoa maeleza ya utendaji kazi wao na kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali kutoa hotuba yake alipofika kutembelea mamlaka hiyo Ofisini kwao Kilimani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali akizungumza na watendaji wakuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Ofisi ya Zanzibar iliyopo Kilimani na kuwashauri kuanzisha mfumo wa kislamu katika kutoa huduma zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Zanzibar wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim (hayupo pichani) ambapo ameshauri mamlaka kupiga vita bima feki
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Zanzibar wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim (hayupo pichani) ambapo ameshauri mamlaka kupiga vita bima feki

 Katibu msaidizi Tume ya Pamoja ya Fedha Zanzibar Wadi Haji Ali akisoma ripoti ya utendaji wa tume hiyo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali alipotembelea Ofisini kwao Jengo la ZSTC Kinazini Mjini Zanzibar.

Picha na Makame Mshenga.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.