Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajenzi wa kijeshi baada ya kukagua majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mafundi wa kiraia wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajenzi wa kiraia baada ya kukagua majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
No comments:
Post a Comment