Habari za Punde

Miraji Othman Mchezaji wa Timu ya Simba Aibuka Mchezaji Bora wa Mchezo huo Kati ya Simba na Chipukizi Michuano ya Mapinduzi Cup.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendekleo ya Makaazi Ndg. Ali Halil Mirza akimkabidhi mfano wa huti Mchezaji Bora wa Mchezo wa Mapinduz Cup Miraji Othman  baada ya kuibuka mchezaji Bora katika mchezo wa Timu yake na Chipukizi Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku., 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.