Mshambuliaji wa Timu ya Namungo Steven Sey akimpita
beki wa Timu ya Jamuhuri Yussuf Makame wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi
mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Namungo imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri Ali Othman akimpita mchezaji wa Timu ya Namungo Yussuf
Makame wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa
Amani Jijini Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuhui Suleiman Nassor na mchezaji wa Timu ya Namungo Khamis
Khalfan wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup
uliofanyika katika Uwanja wa Amani Jijini Zanzibar.
Mchezaji wa Namungo Steven Sey na mchezaji wa Timu
ya Jamuhuri Ibrahim Kombo wakiwania mpira katika mchezo wao wa Kombe la
Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Beki wa Timu ya Jamuhuri Abuu Ali akijiandaa kuondoa mpira huku mchezaji wa Timu ya Namungo Erick Kwizera akiwania mpira huo wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment