Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Abdul-Razaq Badru akimkakaribisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga katika Ofisi za HESLB zilizopo Tazara
Jijini Dar es Salaam wakati wa alipofanya ziara yake ya kikazi ya
kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya
mazungumzo na menejimenti ya HESLB leo Jumatatu (Januari 4, 2020).
Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akisalimiana na Mkurugenzi wa
Uchambuzi na Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) Dkt. Veronica Nyahende wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi
ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya
HESLB
Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akisalimiana na Mkurugenzi
Msaidizi wa Urejeshaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) Phidelis Joseph wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB,
Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB
Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga akifurahia jambo na Mkurugenzi
Msaidizi wa Upangaji Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HESLB) John Felix wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB,
Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB
Mkurugenzi Mtendaji
wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru
(kulia) akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga (kushoto) wakati wa ziara yake ya kikazi ya
kuitembelea Ofisi ya HESLB, Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo
na menejimenti ya HESLB, leo Jumatatu (Januari 4, 2020). Katikati ni Mkurugenzi
wa Urejeshaji Mikopo wa HESLB
Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga akizungumza jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)
Abdul-Razaq Badru wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB,Tazara
Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB leo Jumatatu
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga akipokea moja
ya machapisho yanayochapishwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya
Juu (HESLB) wakati wa ziara ya kikazi ya kuitembelea Ofisi ya HESLB,
Tazara Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na menejimenti ya HESLB
leo Jumatatu (Januari 4, 2020).
(PICHA
NA BODI YA MIKOPO-HESLB)
No comments:
Post a Comment