Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini kuhudhuria ufunguzi wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar lililoandaria na Friends of Zanzibar .
MUFTI
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza katika hafla la Kongamano
la Pili la Amani Zanzibar lililoandaliwa na Friends of Zanzibar katika ukumbi
wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Jijini Zanzibar
MUFTI
Mkuu wa DRC - Congo Sheikh Abdalla Luamba Mangara akitowa Salamu za Friends of
Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar
uliofanyika katiuka ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Jijini
Zanzibar
BALOZI
wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Elisabeth Jacobsen akitowa salamu ya Nchi yake
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar
lililoandaliwa na Friends of Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mazizini Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe,Elisabeth Jacobsen akitowa
salamu wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Amani Zanzibar
lililofanyika katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Zanzibar na kuandaliwa na
Friends of Zanzibar
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.
Haroun Ali Suleiman, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Kongamano la Pili la Amani Zanzibar lililoandaliwa na Friends of Zanzibar
katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Jijini Zanziba
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar
lililoandaliwa na Friends of Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Zanzibar beach resort Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid, Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar.Maalim Seif Sharif Hamad na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Sheria,Katiba
Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman
WAJUMBE
wa Mkutano wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar lililoandaliwa na Friends of
Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) lililofanyika katika ukumbi wa
Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
VIONGOZI
wa Serikali wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kongamano la Pili la Amani
Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akilihutubia na kulifungua katika ukumbi wa
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini wa kwanza Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud
Mussa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh. Hassan Othman
BAADHI
ya Wageni Waalikwa Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania
wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Pili la Amani Zanzibar, wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein
Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililoandaliwa
na Friends of Zanzibar katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
BAADHI
ya Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Kongamano la Pili la Amani Zanzibar, lililoandaliwa na Friends of Zanzibar
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akizindua Kalenda Amani Milele, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la
Pili la Amani lililofanyika katika ukumbi
wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwakilishi wa
Waandishi waliopata Elimu ya Amani Ndg.Abubakar Harith na Waziri wa Nchi Afisi
ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali
Suleiman
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akionesha Kalenda ya Amani Milele baada ya kuizindua katika hafla ya Ufunguzi
wa Mkutano wa Kongamani la Pili la Amani lililofanyika katika ukumbi wa
Zanzibar Beach Resort na (kulia kwa Rais) Mwakilishi wa Waandishi wa habari
waliopata mafunzo ya Amani Ndg.Abubakar Harith na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais
Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
No comments:
Post a Comment