Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu akizunguka kukagua mazingira ya soko la majengo jijini Dodoma leo Januari 6, 2021 alipofanya ziara ya kushtukiza. Wengine pichani wa pili kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Kemilembe Mutasa na Afisa Mipango Miji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Hussein Omari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza maoni ya wafanyabiashara aliowakuta katika soko la Majengo jijini Dodoma wakati alipofanya ziara ya kushtukiza ya kukagua mfumo na miundombinu ya kushughulikia taka ngumu katika soko la majengo jijini Dodoma leoWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika ziara ya kushtukiza ya kukagua mfumo na miundombinu ya kushughulikia taka ngumu katika soko la majengo jijini Dodoma leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Ummy Mwalimu akizingumza na waandishi wa habari wakati akihitimisha ziara ya kushtukiza kwa ajili ya kukagua mfumo na miundombinu ya kushughulikia taka ngumu katika soko la majengo jijini Dodoma
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Waziri Ummyaelekezahalmashauriziwekemiundombinu
bora ya taka sokoni
Waziri waNchiOfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira),
Mhe. UmmyMwalimuamezielekezahalmashaurizotenchinikuwanamiundombinu bora
yakukusanya,kuhifadhinakusafirisha takailikulindaafyazawananchi.
Mhe. UmmyametoamaelekezohayoleoJanuari 6, 2021baadayakufanyaziarayakushtukizakatikasoko
la Majengojijini Dodomakwalengo la kuangaliamfumomzimawakushughulikia taka
ngumu.
KatikaziarahiyoakiwaameambatananawatendajikutokaOfisiyaMakamuwaRaisIdarayaMazingira,
Waziri Ummyalioneshakuridhishwanahaliyamazingirasokonihaponakuipongezahalmashauriyajijihilo.
Akizungumzamarabaadayakukaguasokohiloalizitakahalmashaurizotenchinikuhakikishazinatoakandarasikwawatuwakukusanyanakusafirisha
taka wenyevifaa borakwaajiliyakazihiyo.
Waziri huyoalisisitizakuwakutafanyikaukaguziwakuonakamawakandarasihaowanavigezonasifazikiwemokuwanavifaavyakuwakingiawatumishiwanaokusanya
taka.
“Tumeonagarizakukusanyanakusafrisha taka
zenyewezikiwanitakatakakwahiyotutakaguakilahalmashauriwajitathmini je,
kandarasihiiwaliyompamtuwakukusanya, kuhifadhinakusafirisha taka anavifaa bora.
Hizinisalamututunatakamasokoyawesafinasalamakwawanaouzanawateja,
kikubwatunasemamazingirasafinasalamakwaajiliyamaendelevu,” alisisitizaUmmy.
Aidha, alisisitizapaweponautaratibuwakuondoa taka
zinazokusanywanakuhifadhiwakwenyemasokokwawakatinakuwahatavumiliakuonahalmashauriyoyoteambayotakatakazinakaakwazaidiyasikumojahatuaitakasaidiakulindaafyazawatumiajiwamasoko.
SheriayaUsimamiziwaMazingirayamwaka 2004 nakanunizakeinazitakahalmashaurizotezamajiji,
manispaa, mijinawilayakuwekamifumo bora yakukusanya, kuhifadhinakusafirisha
taka.
Kwa upande wake MkuuwaIdarayaMazingiranaUdhibitiwa taka
ngumuJijini la Dodoma, Dickson
Kimaroalisemawanachangamotoyakypoteakwavifaawanavyopewavibaruanakuahidikuendeleakutoavifaavifaahivyo.
AfisaAfyawa Kata yaMajengo, YustaMaguzualimpongeza
Waziri Ummykwaziarahiyonakuahidikuendeleakusimamiavyemamazingirakatika kata
yakeilikusaidiakupunguzamagonjwayamlipuko.
No comments:
Post a Comment