Habari za Punde

Young Africans Bingwa Kombe la Mapinduzi Cup yaifunga mtani wa jadi Simba kwa mikwaju ya Penelti 4-3 Uwanja wa Amaan

Timu za Simba na Ynaga zikiingia Uwanjani kujiandaa na pambano la fainal ya Mapinduzi Cup lililofanyika katika Uwanja wa Amaan leo usiku ambapo Yanga illishinda Simba kwa penelti 4-3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia mashabiki waliohudhuruia mtanange wa fainali kati ya timu za Simba na Yanga ambapo Yanga illishinda Simba kwa penelti 4-3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Simba kabla ya kuanza kwa pambano la Fainali ya Mapinduzi Cup
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya Pamoja na wachezaji wa Timu ya Yanga  kabla ya kuanza kwa pambano la Fainali ya Mapinduzi Cup

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya Pamoja na wachezaji wa Timu ya Simba  kabla ya kuanza kwa pambano la Fainali ya Mapinduzi Cup

Mchezaji wa Timu ya Yanga Saido akimtoka mchezaji wa Simba, Miraji Athumani katika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan ambapo timu ya Yanga ilishinda kwa mnikwaju ya Penelti 4-3
Mchezaji wa Timu ya Simba Meddie Kagere akiruka juu kuimkwepa Beki wa Yanga Abdallah Shaibu Ninja katika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan ambapo timu ya Yanga ilishinda kwa mnikwaju ya Penelti 4-3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa Timu ya Yanga Haruna Niyonzima katika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan ambapo timu ya Yanga ilishinda kwa mikwaju ya Penelti 4- 3

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.