Habari za Punde

Kampeni ya Elimu kwa Walipa Kodi Mlango kwa Mlango Mkoani Mbeya.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila akizungumza na Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani humo Bi. Eunice Liheluka na Afisa Kodi Mkuu wa TRA Makao Makuu Bw. James Ntalika wakati walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo.
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya Bi. Eunice Liheluka akizungumza na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kutoka Makao Makuu wakati walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kupanga mikakati ya kutekeleza kampeni ya elimu kwa mlipakodi mkoani humo.
Afisa Kodi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. James Ntalika akiwaelimisha wanunuzi wadogo wa madini Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea jijini humo. 

(PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.