Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Amtembelea Mzee Ali Ameir Mohammed. Kijiji Kwao Donge leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Mzee Ali Ameir alipofika nyumbani kwake Donge karange Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Mzee Ali Ameir alipofika nyumbani kwake Dongo kwa mazungumzo na kumjulia hali yake. 
Picha na OMPR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.