Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na uongozi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bi. Salama Kombo Ismail. (klia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 25-2-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bw.Amani Suleiman Kombo, akiwasilisha Taarifa ya Jumuiya yao wakati wa mazungumzo na Rais yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu(Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdalla na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bi. Salama Kombo Ismail na Mzee wa Jumuiya Bw. Hashim Bakari Kondo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wazee wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) baada ya kumaliza mazungumzo yao na kupiga picha ya kumbukumbu, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.