Habari za Punde

Rais Mhe. Dkt. Magufuli aweka Jiwe Msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi, Afungua Majengo ya Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha Ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kuyafungua leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufulikatika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufulikatika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.