Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud Othman akivishwa shada la maua wakati akiwasili Ofisini kwake leo kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake ya Umakamu
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud Othman wakati alipowasili Ofisini kwake Migombani leo kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake ya Umakamu
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud Othman akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa watendaji wa ofisini kwake alipowasili Ofisini kwake leo kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake ya Umakamu. Anayeangalia ni Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Saada Mkuya Salum
aMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud Othman akizungumza na Watendaji wa ofisi yake baada ya kuanza rasmi majukumu yake leo.
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ipo Migombani , Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
No comments:
Post a Comment