Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia muktasari wa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha, ikiwasilishwa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa Maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Amour Hamil Bakar, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais alilyoyatoka kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandishi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, akizungumza wakati wa mkutano wa Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kulia kwake) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg. Amour Hamil Bakar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.