Habari za Punde

Makamu wa Rais, Mhe Samia aanza ziara ya kikazi ya siku tano Mkoani Tanga


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga Mhe. Henri Shikifu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akipata maelezo kuhusu Mipango endelezi ya Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutoka kwa Meneja Mtendaji  wa Kiwanda hicho John CK  leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga, leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akikata Utepe Kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akimwagilia Maji Mti aina ya Paukaria alioupanda katika eneo la Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021 baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda hicho.  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.