Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango Awasili Ofisini Kwake Ikulu Chamwino Baada Kuapishwa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa mara ya kwanza amewasili Ofisini kwake Ikulu Chwamwino na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi yake mara baada ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma kumuapisha kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 31,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.