Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Awasili Chato Kuhudhuria Maziko ya Hayati Dkt. Magufuli.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoani Geita kuhudhuria maziko ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yayofanyika leo Chato.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.