Mkuu
wa kitengo cha biashara wa Zantel, Aneth Muga akicheza mchezo wa Foosball
pamoja na Mohammed Waziri mmoja wa wananchi waliofika katika uzinduzi wa
kampeni ya ‘Pasua Anga Ki Zantel 4G’ uliofanyika katika viwanja vya
Kisonge Unguja.Kampeni hiyo imelenga kuwaelimisha wateja juu ya umuhimu wa
mtandaowa 4G katika kujiletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Mkuu
wa kitengo cha biashara wa Zantel, Aneth Muga pamoja na Issa Chapu wakicheza mchezo
wa kikapu (Table tennis) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Pasua Anga Ki
Zantel 4G’ uliofanyika katika viwanja vya Kisonge Unguja-Zanzibar.Kampeni
hiyo imelenga kuwaelimisha wateja juu ya umuhimu wa mtandaowa 4G katika
kujiletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Katika uzinduzi uliofanyika viwanja vya kisonge, ulihusisha shughuli mbalimbali ikiwamo michezo ya foosball, tebal tennis, pool table huku washindi wakiibuka na vifurushi vya intaneti ya 4G vya wiki pamoja na zawadi mbalimbali
No comments:
Post a Comment