Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Dkt. Philip Mpango Akutana na Kuzungumza na Waziri Balozi Mulamula

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, a kizungumza na Mkuu wa Itifaki CP Balozi Yusuf Mndolwa Tindi wakati Waziri Mulamula alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 23,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.