Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Hussein Othman Katanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (CS) katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Palamagamba
Aidan Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla iliyofanyika
katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba
Madelu kuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika katika Ikulu
ya Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Selemani Saidi Jafo kuwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Kitila Alexander
Mkumbo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika hafla iliyofanyika katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment