Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam Abubakar Kunenge aliyeambatana na viongozi wenzake wa Kamati ya
Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akitokea
Jijini Dodoma leo tarehe 03 Aprili 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe pamoja na viongozi wengine wa Kamati
ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam mara baada kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment