Kampuni ya kutengeneza Vyuma na Vipuli vya mashine ya FAZNAM GmbH inayomilikiwa na mfanyi biashara mwanana wa kitanzania Bi.Halima Mfundo yenye makao yake nchini ujerumani inampongeza Rais wetu mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kumtakia afya njema katika kutongoza watanzania,mkurugenzi wa kapuni hiyo Bi.Halima Mfundo amesema kampuni yake inaungana na watanzania wengine katika kumuunga mkono Rais Mama Samia Suluhu Hassan.
Mungu ibariki Tanzania
No comments:
Post a Comment