Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi Ameongoza Dua Maalum na Kisomo cha Hitma Kumsomea Hayati Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Abeid Amani Karume Iliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 7-4-2021.

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa akipika fatha kabla ya kuaza kwa Kisoma Maalum kumsomea Hayati Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Abeid Amani Karume kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 7-4-2021.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.