Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)Mhe. Selemani Said Jafo na Naibu
Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Hamad Hassan
Chande wakiwasili katika Ofisi za Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma
mara baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Chamwino Aprili mosi,
2021.
AmeyasemahayohiileomarabaadayakuwasilikatikaOfisiyaMakamuwaRaisnakukutananaMenejimentiyaOfisiyakenaBaraza la Taifa la HifadhinaUsimamiziwaMazingiranchini.
"Nashukurukwamapokezimazuri, ilatuchapekazitunahitajikupatamatokeochanyakwakazitunazosimamiayaaniMuunganonaMazingira" Jafoalisisitiza.
Kwa upandemwingineNaibu Waziri OfisiyaMakamuwaRaisMhe. Hamad ChandeamesisitizaushirikianobainayawatumishikatikakuhakikishamalengoyakudumishaMuunganonakusimamiaMazingirayanatekelezeka.
AkiwasilishataarifayaOfisiyakeKatibuMkuuOfisiyaMakamuwaRaisMhandisi Joseph MalongoamewahakikishiaushirikianoMawazirinakuwakaribishakwaniabayawatumishiwenzake.
No comments:
Post a Comment