RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka jamii ya Wazanzibar kuacha tabia ya ''muhali'' na kuripoti matukio ya vitendo vya udhalilishaji katika vyombo vya sheria huku akilitaka jeshi la Polisi kuacha kufanya usuluhishi wa matukio hayo.
Akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Mjini Kichama hapo Makao Makuu ya Chama hicho Mkoa Amani, katika ziara ya kuwashukuru, alisema bado hajaridhishwa na utendaji wa jeshi la Polisi katika kushughulikia kesi za udhalilishaji wa kijinsia.
Rais Dk. Mwinyi ambaye pia, ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) alisema yapo malalamiko kutoka kwa jamii kwamba jeshi la Polisi limekuwa likifanya upatanishi wa kusuluhisha wa kesi hizo katika vituo vya Polisi na kumalizana kienyeji.
Alifahamisha hizo sio kazi za jeshi la Polisi kwa mujibu wa sheria ambapo wanatakiwa kuhakikisha wanatayarisha kesi kwa kufanya upelelezi na kuzipeleka mbele kwa hatua nyengine.
Hivyo, Rais Dk. Mwinyi alitumia fursa hiyo kuwapongeza Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa kufanya marekebisho mazuri katika sheria za udhalilishaji ambapo mtuhumiwa wa makosa hayo atakuwa akinyimwa dhamana.
''Nilikutananaviongoziwajeshi la Polisi,mkurugenziwamashtaka pamoja namahakamanakuwatakawakutanenakuwekautaratibumzuriutakaohakikishakesihizozinasikilizwaharakailijamiiiondokanenamalalamiko''alisema.
Rais Dk.
Mwinyi aliwapongeza Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa kufanya marekebisho mazuri katika sheria ya udhalilishaji ambapo mtuhumiwa wa makosa hayo atakuwa akinyimwa
dhamana.
''Nimemtaka jaji mkuu sheria itekelezwe kwa wanaofanya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia
kwanza wanyimwe dhamana huku shauri lao likiendelea''alisisitiza Dk.Mwinyi.
Aidha, Rais Dk. Mwinyialiwaelezawananchinawanachamawachama
cha CCM MkoawaMjinikwambakatikakipindi cha miezisitayauongozi wake
amefanikiwakujengamisingiyamaridhianoyakisiasayaserikaliyaumojawakitaifa.
Alisemakuwepokwaserikaliyaumojawakitaifakumefunguwamilangoyamaelewanoyaakisiasanakijamiinakuondokananachukihukuzikiwemo
kilaainayadalilizamatumainiyenyekheri.
AliwajulishawananchikwambamaandaliziyaujenziwabandarizakisasayenyeurefuwakilomitasitahukoMangapwaninaBumbwiniupokatikahatuazamwishoambaonisehemuyamatarajiomakubwayakutengenezaajiranyingi.
''Hapawananchinawanachamawengiwamezungumziasuala
la
serikalikuajirivijanawaliomalizamasomoyao...sikweliserikalihaiwezikuajirivijanawotehaolakinitunatengenezamazingirayaajirakwakujengamiundombinuyabandarinaviwanda''alisema.
Rais Dk.
MwinyialielezanamaSerikaliyakeinavyokusudiakutafutaeneombadalakwaajiliyakuwashughulikia
wale walioathirikanadawazakulevyakwanikatikaeneo la
HospitaliyaKidongochekundumazingirayakehayaridhishi.
Alielezahatuazitakazochukuliwakatikakuhakikishawazeewanaangaliwakatikasualazima
la penchenizao pamoja nahudumawanazostahikizikiwemohudumazaafya.
NaeNaibuKatibuMkuuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)
Zanzibar,AballaJumaMabodialiwatakawatendajiwachamahichowakiwemoMakatibukujipangakwaajiliyakutekelezaIlaniya
Chama hichokwakufuatiliaahadizotezaSerikalikatikakipindi cha
kampenizauchaguzimkuu.
''Nawatakawatendajiwachamasasamjipangevizurikufanyakazizenuikiwemokuifuatiliaserikaliutendaji
wake unaotokananaahadikatikakipindi cha uchaguzimkuu''alisema.
Mabodialikikeatabiayabaadhiyawanachamawachamahichoyakuanzakampenizauchaguziwachamahichokablayamudakufikahapomwakani.
Katikarisalayaoviongozihaowa CCM
waMkoawaMjiniwalielezamafanikioya Chama
hichowaliyoyapatakatikauchaguziuliopitasambambanakumpongezaRais Dk. Mwinyikwajuhudizakezauongozi
pamoja nakumpongezakwakulivalianjugasuala la waathirikawa “Masterlife” ambalolimewaathiriwananchiwengiambaoniwakaaziwaMjini.
MapemaRais Dk.
MwinyialiwapanafasiviongozihaonawanaCCMyakuzungumzapamoja
nakuelezachangamotozinazowakabilihukuwakitumiafursahiyokwakupambananaufisadinaubadhirifuwamaliyaumma.
Rajab
Mkasaba, Ikulu Zanzibar
Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024
2231822
E-mail:
rajabmkasaba@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment