Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano wa Huduma za Uchapaji na Vifaa vya Maofisini Pemba.

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab, akifungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa huduma za uchapaji na vifaa vya ofisini na kuandikia, ulioandaliwa na wakala wa uchapaji wa serikali Zanzibar huko Gombani Pemba

BAADHI ya watendaji kutoka taasisi mbali mbali za serikali Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa wadau wa huduma za uchapaji na vifaa vya Ofisini na kuandika, uliondaliwa na wakala wa uchapaji wa serikali Zanzibar na kufanyika Gombani Pemba
KAIMU Mkurugenbzi wa ZGP Salum Khamis Rashid akiwasilisha mada ya uanzishwaji na uwezo wa kisheria wa ZGP, katika mkutano na wadau wa huduma za uchapaji na vifaa vya Ofisini na kuandika, uliondaliwa na wakala wa uchapaji wa serikali Zanzibar na kufanyika Gombani Pemba

MKURUGENZI uhusiano kwa umma, masoko na Bohari kuu –ZGP Hannat Mohamed Aboud, akiwasilisha mada juu ya huduma za bohari kuu ya vifaa vya ofisi na kuandikia na taratibu za upatikanaji wa bidhaa, kwa wadau wa huduma za uchapaji na vifaa vya Ofisini na kuandika, uliondaliwa na wakala wa uchapaji wa serikali Zanzibar na kufanyika Gombani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.