Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Ujumbe katika barua iliyotoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi,Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira watatu kutoka kushoto, wakwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, pamoja na viongozi wengine kutoka Serikali ya Burundi pamoja na Ubalozini kwao hapa nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana Mgeni wake, Balozi Ezechiel NibigiraMjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.