Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kutambua na Kuenzi Mchango Anuai wa Historia ya Tanzania katika Ukombozi wa Bara la Afrika na Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo, katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Washiriki wa Kongamano la Kutambua na Kuenzi Mchango Anuai wa Historia ya Tanzania katika Ukombozi wa Bara la Afrika, na Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Washiriki wa Kongamano la Kutambua na Kuenzi Mchango Anuai wa Historia ya Tanzania katika Ukombozi wa Bara la Afrika, na Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
Washiriki wa Kongamano la Kutambua na Kuenzi Mchango Anuai wa Historia ya Tanzania katika Ukombozi wa Bara la Afrika, na Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo lililofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Mei 21, 2021 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment